SIRI YA MAFANIKIO 2017,FANYA HAYA ...


 SIRI YA MAFANIKIO 2017, FANYA HAYA ...

Heri ya mwaka mpya 2017 wasomaji wa HHMag, Watu wengi huweka malengo ya mwaka lakini inapofika mwezi wa tatu wengi wao huwa wamesahau hata hayo malengo. Siri ya kubwa kama unataka mafanikio badili tabia ili uwe na tabia utakazozifanya kila siku mwisho utaona mafanikio.kwa 2017 anza na tabia hizi:

  1. Shukuru kwa afya,familia,ndugu,marafiki na kila ulichonacho maana kuna wengi hawana hivyo ulivyonavyo.
 
  
via 

via

2.  Safisha mazingira yako, nyumba yako,ofisi yako na vifaa/vitu vyote .usafi na mazingira yanayovutia yanafurahisha kukaa au kufanyia kazi pia ni bora kwa afya yako.
via
3. Kuwa na mpangilio  katika kila kitu kuanzia nyumbani kwako,unapofanyia kazi maana mazingira yasiyona mpangilio yanachosha akili na kupunguza ufanisivia


4. Andaa nguo za kuvaa kwa wiki au usiku ili asubuhi ziwe tayari,hapa unasave muda pia wale wote unaowaona wanapendeza kila siku hii ndio siri yao.


via

5. Hakikisha unapata breakfast nzuri mapema kila siku,ni  bora kwa afya yako na ufanisi.Pia hakikisha unakunywa maji ya kutosha na chakula bora.tip-mlo wako uwe na rangi mbalimbali.
via
6. Jifunze kitu kipya au boresha kitu ambacho hukijui vizuri ili kuongeza ujuzi wako.Ukijua mambo mengi ni faida kwako na wanaokuzunguka.
via
7. Lala na amka mapema kuwa na muda maalum wa kulala na kuamka, pia jenga tabia ya kuwa on time kila unapotakiwa kuwa.
via
8. kuwa na diary au notebook muda mwingi mswahili alisema mali bila daftari....andika vitu vyako kwenye diary au notebook badala ya vikaratasi au badala ya kuweka vitu kichwani- utanishukuru baadae
via
via
9. Soma, soma, soma, unataka maendeleo soma vitabu mbalimbali vizuri achana na magazeti ya udaku au vitabu ambavyo havikunufaishi.The more things you know the better decisions you will make in your life.Hivyo soma walau nusu saa kila siku kwa kuanzia.

via
via
10. tengeneza mazingira mazuri ya kuishi yanayokufanya ujikisikie nyumbani na kukupa amani.
11.Tenga muda wa kufanya unachokipenda,muda wa familia yako na uwapendao.
12.saidia mtu/watu/jamii kutoka na uwezo ulionao yaani fanya angalau mtu mmoja ashukuru kwakuwa wewe upo.
13. Sali au meditate au fanya yoga yaani kitu chochote kitakachoituliza na kuipa amani roho yako
14. Fanya mazoezi ya viungo au tembea kwa mguu
15.Vaa vizuri upendeze-utajisikia vizuri.
via
Natumaini mawazo haya yatamjenga mtu,Follow ili upate tips zaidi.Enjoy!Happy newyear.


No comments:

Post a Comment

1