Swali la kujiuliza....siri ya mafanikio!


 via
 via
 

 via
via

 Nini faida ya kujisomea? kama ni hivyo je ni kwanini hujisomei?ni kwanini huwasomei watoto au hata kuwahimiza kujisomea? Je unajua siri nyingi za mafanikio zipo katika vitabu? Sababu nyingi watu husema za kutojisomea  ni kuwa hakuna muda wa kutosha,ukweli ni kwamba muda upo ila hujakupa kujisomea umuhimu wa juu kama vitu vingine. Karne hii tunabahati kuwa na teknolojia inayotuwezesha kusoma kila mahali tulipo iwapo tutapenda.Unangoja nini, muda ndio huu.

No comments:

Post a Comment

1