Jinsi ya kupamba nyumba yako....

 

 
 


via pinterest

Pata njia za upambaji kutoka picha hizo juu.Katika upambaji wa nyumba yako ni muhimu kuangalia rangi na staili inayokupendeza wewe maana ni wewe unayeishi hapo, hivyo hata kama ukiamua kumtafuta mpambaji akupambie inabidi uwe na  ideas mbalimbali jinsi gani unapenda mpangilio uwe na rangi zipi ili akupambie hivyo na kuongezea na ujuzi wake.Na kama unapamba mwenyewe basi ni vema kuangalia picha na magazeti ya interior design au nyumba inayokuvutia  harafu pangilia jinsi inavyokupendeza wewe.
 
 

No comments:

Post a Comment

1