Nani alisema...?


all 31 images via here
Ni nani huyu aliyesema rangi za kazi za mikono,fanicha au mapambo mengi ya kutoka Afrika yawe na rangi ya kahawia,nyeusi na nyeupe?.Kwa uzoefu wangu katika upambaji naona hizi rangi zitaendelea kukosesha soko  bidhaa hizi hata kama  zimetengenezwa kwa umaridadi kwa tatizola  kukosa mvuto wa rangi mbalimbali. Watu wengi ulimwenguni hupenda rangi tofauti tofauti, kama wewe ni msanii tumia fursa uliyonayo na ubunifu ulionao tengeneza bidhaa za rangi mbalimbali pata mifano ya rangi gani zinapendeza hapa SC. Enjoy!

1 comment:

1