picha kupitia hapa
Achana na zile rangi za kahawia na nyeusi ambazo huwa tunaziona kwenye mapambo mengi ya kutoka Afrika,pamba kwa rangi mbalimbali kama unavyoona katika picha hizi. Angali rangi ambazo unazipenda maana utakuwa unaziona kila siku hivyo chagua rangi zinazokuvutia.
No comments:
Post a Comment