Jinsi ya kupangilia ndani ya nyumba

video cortesy of  youtube
Hii ni video inayoonyesha jinsi ya kuwa na mpangilio wa vitu ndani ya nyumba ikionyeshwa na Alejandra Costello. Ukipangalia vitu vitu vizuri unapata faida nyingi.Baadhi yake ni kuwa utajua una nini hivyo unaepuka kununua vitu ambavyo tayari vipo hivyo utabana matumizi,una save muda maana unajua kila kitu kilipo,unaongeza nafasi ndani ya nyumba, usafi na mzunguko mzuri wa hewa.Pia inafurahisha ukitazama tu mwenyewe na unawafundisha watoto kuwa na mpangilio maana watoto hujifunza zaidi kwa kuwaiga wazazi/walezi.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1