Asanteni sana wapenzi wa SC.

Marafiki wa SC, natoa shukrani za dhati kwa wote mliowasiliana nami katika kipindi hiki cha maombolezo,Asante sana sana. Salam zenu zimenipa mimi na familia yangu faraja Mbarikiwe sana. Nitarudi karibuni kuwa nanyi tena. Nawatakia afya njema na mafanikio na asante sana kwa ushirikiano wenu.

1 comment:

1