Likizo ya MaombolezoNakupenda mdogo wangu Mpenzi  kwa moyo wangu wote hakuna kitakachobadilisha hilo.

"For my thoughts are not your thoughts, neither are your ways my ways," declares the LORD.  "As the heavens are higher than the earth, so are my ways higher than your ways and my thoughts than your thoughts. Isaiah 55:8-9

Wapenzi wa SophiesClub natumaini nyote hamjambo. Nilipata msiba wa Mpenzi mdogo wangu mwezi uliopita.Nimasikitiko makubwa kwangu na kwa familia yangu.Sitablog kwa muda nimeamua kuchukua likizo ya maombolezo mpaka hapo baadaye.Namtakia kila mmoja wenu baraka na mafanikio,asante kwa kutembelea yenu SC.Ukitaka kuwasiliana nami tumia sophieyk@yahoo.com.Asanteni sana.

4 comments:

 1. Pole kwa msiba!
  Wewe na familia mpate faraja!
  Apumzike pema mdogo wako.
  Amin!

  ReplyDelete
 2. Pole sana na Mungu awekati yenu!

  ReplyDelete
 3. Jamani asante sana sana kwa salam zenu,mbarikiwe sana.

  ReplyDelete
 4. POLE SANA MPENDWA, POLE KWA MSIBA, TWAKUOMBEA MUNGU AKUPE SUBIRA NA TWAMUOMBEA MDOAGO WAKO APATE MAHALA PEMA PEPONI....

  ReplyDelete

1