images courtesy of houseandhome
Unaweza kubadilisha rangi ya fanicha kwa kuipaka rangi,kwa mfano rangi ya njano hupendeza.Tumekuwa na mazoea ya kuacha fanicha zote kuwa rangi ya kahawia zamu hii badilisha kwa kuzipakaa rangi kama njano hapo juu. Pia unaweza tengeneza sanaa kama kufremu kitambaa ukipendacho matokeo yake hupendeza mfano hapo juu.
Kweli kumependseza mpendwa, i wish ungekuja kwangu ukanisaidia kupamba!
ReplyDelete