Jitengenezee meza ndogo


images courtesy of designsponge

Fundiselemala si kwamba hatukupi biashara ila leo tunabana matumizi kidogo na  vilevile hii tunaweza kufanya wenyewe.Haya  angalia hapa jinsi  walivyotengeneza hilo gogo kuwa stuli/meza kama picha ya pili inavyoonyesha.Unaweza....Enjoy!


3 comments:

 1. Very `simple'. Unajua umenikumbusha kitu, kuwa maisha yetu `tunayakweza wenyewe..' mfano stuli gogo la mti, ukachukua magogo mengine ukayapigilia kama kichanja, ukachukua maani ya mgomba kama godogo, mmmmh, nyumba wake makuti...hakuna gharama, simple life!
  Chakula, mihogo, viazi, matunda ya porini, ndege, mmmh , wewe huumwi kabisaaa, maji ya chemchem! SIMPLE

  ReplyDelete
 2. Inapendeza na tena rahisi kutengenza na bei nafuu safi sana!!

  ReplyDelete
 3. Nilifikiri kimebadilika kuwa paka! ha ha ha. Utani. Kimependeza sana kwa kweli. Asante Sophie

  ReplyDelete

1