Picha/sanaa ukutani...zinapendezaimages via apartmenttherapy
Sanaa mbalimbali na picha zinaifanya nyumba kuwa mahali pako pa kipekee kwakuwa zinakuwa za ukumbusho au hata kuonyesha ujuzi wako kama umezitengeneza mwenyewe au watoto wametengeneza. Hivyo hujachelewa zitundike watu wote tuone maana wapi kama nyumbani kwako?!!

1 comment:

  1. Nimependa mpango huo wa picha inakuwa kama picha moja tu kubwa. Safi sana

    ReplyDelete

1