Heri ya Mwaka mpya 2011

images courtesy of broadwayworld

Heri ya Mwaka mpya 2011, Mungu atujalie uwe mwaka wa neema,afya njema na amani kwetu sote.Picha zaidi ya sherehe za mwaka Time square,Manhattan  hapa NewYork.Enjoy!

2 comments:

  1. kheri nawe pia kwa mwaka mpya 2011!!

    ReplyDelete
  2. Yah, umeshaanza, na tumshukuru mola, na kumuomba atupe uzima, na afya .Amin

    ReplyDelete

1