Nani asiyependa maua?...
Images courtesy of marieclairemaison Nani asiyependa maua?kama yupo sijui atakuwa na sababu gani ,kama hayupo basi jaribu kuweka/kupamba maua sehemu mbalimbali za nyumba yako,ofisi n.k na tumia/kusanya vyombo vyenye maua katika mkusanyiko wa vyombo ulivyo navyo.Namna hii utafurahia kila mara utumiapo vyombo hivi au unapokaa sehemu iliyopambwa vizuri na pia kwa kuweka maua, rangi mbalimbali na mapambo utawapa furaha waliokuzunguka.Kuna ule msemo usemao ni mkusanyiko wa vidogo vidogo vinavyoyafanya maisha kuwa ya furaha.Jaribu na enjoy!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hiyo nakukubalia kila mtu anapenda maua, ndege hata wanyama wanapenda maua.
ReplyDeleteKama kila mtu anapenda maua, kwanini yasijae kila kona ya nyumba, mabarabarani , maofisinii nk. Ahsante Sophie
Asante sana emu-three yaani wote tukifuata haya maneno yako mbona tutaishi pazuri.Karibu tena
ReplyDelete