Bloggers wa fashion na lifestyle wanahitajika

Runaway Passport  huwa wanapromote designers wanaochipukia kutoka sehemu mbalimbali duniani.Hivi karibuni watakuwa na Swahili Fashion week Dar-Es-Salaam.

Wamewasiliana nami wanahitaji bloggers walioko Tanzania especially bloggers wa fashion na lifestyle ambao watapenda kuandika articles kuhusu fashion na urembo wa Tanzania. Kama uko interested kufanya hivyo nitumie jina na contact yako niliwasilishe harafu watasiliana nawe kwa details zote.Articles zitatakiwa ziandikwe kwa Kingereza.

No comments:

Post a Comment

1