Mpangilio...
Images cortesy of quadrille

Mpangilio na uchanganyaji wa vitu vyenye rangi mbalimbali hupendezesha chumba.Rangi ya bluu pia imeongezea mvuto wa chumba.Pia kama unaishi nyumba au chumba kidogo chanja kama picha ya kwanza juu au ya tatu zinasaidia kutumia nafasi barabara mfano kwa kuwekea vitabu na mapambo.Pia picha ya 3 inavutia,Hivi vitambaa vinapatikana quadrille au tafuta hapohapo ndani kwako utashangaa unapata kitambaa ulichokuwa hukitegemei.Enjoy

2 comments:

  1. Kwa mpangilio huo, unaweza ukatamani kukaa ndani masaa yote!

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana kwa kutupa darasa la mpangilio huo

    ReplyDelete

1