Leo twende Ufaransa...kumuona msahii huyu!

Images courtesy of joyderohanchabot

Sanaa za mapambo za Msanii  Mfaransa Joy De Rohan Chabot zinavutia sana.Msanii huyu  anayefanya sanaa zake kwa kuchanganya sanaa ya mapambo na nature.Sanaa yake inapendeza sana ,yeye hutumia vyuma,mbao,vioo na harafu huchora maua au kitu chochote kama picha zinavyoosha mfano picha ya kwanza juu kachora picha ya samaki kwenye kioo cha meza,inapendeza sana .Nimepost hii ili upate inspiration kuwa unaweza kufanya sana mbalimbali na kuzipamba au kuzichora maua zikapendeza.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1