Ufumaji...kutoka Denmark


Images courtesy rice

Kufuma au kuchanganya vitambaa kunapendezesha.Hivi ni kutoka duka liitwalo Rice , Denmark. Kwa kufuma unaweza kupendeza nyumba yako au kufuma kwa ajili ya kumpa mtu zawadi au biashara.Enjoy!2 comments:

  1. Unajua ufundi niubunifu, wakigundua hiki wewe unajaribu kuweka tofauti kidogo, ili kuwavutia watu.

    ReplyDelete
  2. Hongera kwa kutuletea hii, safi sana

    ReplyDelete

1