Ubunifu ni kitu muhimu sana... angalia!

Image courtesy nydailynews
Image courtesy papertastebuds


Image courtesy nydailynews
Katika blog post nyingi hapa utaona napenda sana kusisitiza umuhimu wa kuwa mbunifu na zaidi kwa wazazi kuwakumbusha watoto kujaribu kufanya sanaa mbalimbali watakazozifikiria wenyewe. Msanii Dalton Ghetti ana sanaa yake ya kipekee ambayo binafsi nimeipenda sana maana inaonyesha jinsi gani mtu ankuwa original. Anachonga pencil maumbo mbalimbali kwenye penseli .Picha ya juu kachonga alphabet zote na hiyo nyingine kachonga chain katika ya penseli. Ukipenda soma zaidi hapa. Hii inatosha kutuonyesha kuwa hakuna kikomo katika sanaa,ukimuona mtu anapenda kufanya sanaa furani mpe moyo! Enjoy.

No comments:

Post a Comment

1