Mtoto wako kachora picha... usiitupe ipambe!

Image courtesy of goodhousekeeping
Above 5 imagescopyright : sophiaclub

Watoto wadogo wa chekechea au wadogo zaidi yao huwa wanapenda kuchora. Watu wengi kwa kuwa huona ni wadogo basi wengine wanazitupa picha hizo. Nakupa changamoto,usizitupe bali chukua baadhi zipambe (kama picha hapo juu) maana hiyo ni sanaa ambayo sio tu itaifanya nyumba yako ipendeze bali itamfanya mtoto wako kujiamini zaidi na kuzidi kufanya vizuri kwa kuona kazi yake inathaminika na vile vile ataongeza bidii. Unaweza pia picha zingine ukaziweka kwenye faili na kumtunzia au hata baadhi ukazi-laminate na kutengeneza placemat au ukatengeneza kalenda n.k.

No comments:

Post a Comment

1