Rangi .... zinazosuuza roho!
Images courtesy of rice

Binafsi huwa nikiona rangi nzuri mchanganyiko ndani ya nyumba huwa nasikia roho yangu inasuuzika naamini siko peke yangu. Ukitaka kujua kama hata wewe ni hivyo angalia kama utazipenda picha hizi hapa juu kama utazipenda basi huna budi kuwanazo nyumbani kwako maana maisha mazuri ni pamoja na kuwa na vitu uvipendavyo na sio mpaka viwe vya gharama.

No comments:

Post a Comment

1