Kwa Msomaji aliyeomba kujifunza kupaka make-up


Image courtesy of
mac-makeup

Kwako msomaji mpendwa(jina...), ujumbe wako umenifikia,asante sana kwa kuipenda na kuisoma Sophie's Club.Nitajitahidi kuweka posts ulizoziomba niziweke. Haya leo tuanze na jinsi ya kuweka Makeup, video yake hii hapa kutoka youtube. Natumaini utaipenda. Ukiwa na swali tuma ujumbe au acha maoni,Asante na Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1