Chintz... vitambaa muhimu kwa interior designers!

Kuna aina mbalimbali za vitambaa kwa ajili ya kudesign na upambaji wa ndani kama mapazia au mito midogo ya viti au kufunikia cushions n.k. Vitambaa aina ya Chintz (mfano hivyo hapo juu) hupendeza,japo vipo tangu zamani huwa havipitwi na ndio maana interior designers hupenda kuvitumia.Vinapendeza maana uchoraji na rangi zinavutia . Hivi vinapenda pia ukichanganya na mapambo yenye vitambaa vya shapes kama mraba au mistari mradi uweke kiasi ili visichoshe. Je unapenda vitambaa aina gani?No comments:

Post a Comment

1