Aina tofauti za upambaji...unaweza!


images courtesy of andreaarteira

Kama kawaida huwa napenda kurudia kuwa katika upambaji unaweza ukaishi katika mazingira yanayopendeza kwa kupamba vizuri kwa kutumia vitu ambavyo tayari unavyo.Recycle, kwa mfano kopo zuri limetumika kupamba ua,au badili matumizi ya kitu fulani na ukitumie kwa matumizi mengine mfano jagi limetumika kupambia maua na pia changanya rangi za kuwaka. Kazi kwako ukipamba nitumie picha. Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1