Vioo katika upambaji...
all images courtesy of housetohome

Kwa wale wanaoishi katika nyumba ndogo uwekaji vioo husaidia kukifanya chumba kionekane kikubwa. najua sie tumezoea kuwa na vioo vyumbani tu,katika upambaji ni vizuri kuweka kioo kikubwa( mfano hapo juu) sebuleni ili kupendezesha na kukifanya chumba kionekane kikubwa.Pia kuweka makopo/vyungu vya maua sio tu husafisha hewa bali hupendezesha na kuifanya sehemu iwe na mandhari ya bustani na pia kuonekana kubwa.jaribu na Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1