Rangi ya pink ndani ya nyumba
images courtesy boligmagasinet.

Salam kwako mpenzi wa blog hii,natumaini wasomaji wangu wote hamjambo. S club baada ya kuwa likizo kwa muda, sasa inakuletea tena habari mbalimbali nzuuuri, hivyo kaa mkao wa kula! Basi leo tunaanza na rangi ya upendo pink na mazuri mengi yanakuja,enjoy na karibu tena!

2 comments:

  1. Da Sophie ulipotea kweli karibu sana tena. naona umekuja na rangi nzuri na pia vitu vizuri kunapendeza!!

    ReplyDelete
  2. Asante sana Yasinta, nimeishakaribia.Haya ngoja tuanze tena kulizungusha hili gurudumu na kuenjoy matunda.asante kwa kutembelea.Hata mie hizi rangi nazipenda.karibu tena

    ReplyDelete

1