Ubunifu kutoka Italy,Binta Armchair!


image courtesy of furniturestoreblog
Kampuni ya kutedesign fanicha Moroso ya Italy wametengeneza design nzuri ya viti vikiwa vimefunikwa na vitenge kutoka Afrika ,angalia jinsi vinavyopendeza. Haya kama unasema Afrika hatuna vitu vizuri sijui hapa utasemaje! Ndio maana huwa napenda kuandika umuhimu wa ubunififu na kutoa kazia original bila kuiga maana matokeo huwa mazuri kama hivyo . Haya hii ni changamoto kwetu sote. Zaidi kuhusu viti hivi viitwavyo Binta armchair soma hapa

No comments:

Post a Comment

1