Video ya jinsi ya kupanga meza ya Krismas.
All above images courtesy of countryliving
Usipate taabu kufikiria utapangaje meza ya Krismas,angalia video hii kutoka you tube hapa, utapata kuona kila kitu kuanzia jinsi ya kukunja napkins,kuweka maua, kupanga sahani na vijiko,uma na kadhalika.Video nyingine za mapambo ya krimas kama kutengeneza center piece angalia video kutoka monkeysee.Nakutakia sikukuu njema ya baraka. Enjoy!

3 comments:

 1. Ahsante kwa video, Nakutakia sikukuu njema nawe pia.

  ReplyDelete
 2. For you and your visitors. Creativity and imagination from pictures of Jose Ramon Merry Christmas

  ReplyDelete
 3. Dada Sophy
  Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
  Baraka kwako

  ReplyDelete

1