Mpiga picha wa vyakula...kazi hii bado ngeni kwetu!All above 3 Images courtesy of Vanessa Pike -Russell at flickr

Matangazo ya vyakula,waandishi wa vitabu na magazeti ya vyakula ,posters na mapambo mbalimbali mazuri tuyaonayo kwenye mahoteli na migahawa yanawategemea sana Wapiga picha wa Vyakula. Kwetu kazi hii bado ni ngeni .Nimeona tips nzuri toka kwa mpiga picha wa vyakula (Food Photographer) veganyumyum na pia kutoka digital-photography-school.com nikaona nizipost kwa atakayependa kujifunza. Enjoy na nitumie picha ulizopiga au website ya mpiga picha wa chakula unayemfahamu.

No comments:

Post a Comment

1