Je wajua kupanga meza ya chakula ?jifunze hujachelewa

Chakula cha mchana (rasmi)
Chakula cha usiku (rasmi)

Chakula cha usiku (kawaida)


Chakula cha mchana kawaida


Kifungua kinywa

All 5 above images courtesy of myhomeideas
Hujachelewa bado! Na sasa ndio wakati wa sikukuu unawadia ukitoa vile vyombo vyako kabatini na vipange namna hiyo kutokana kama ni chakula cha mchana au usiku ni kawaida au ni sherehe rasmi nafikiri familia yako na wageni watafurahia na kuona umewajali. Ukipenda maelezo zaidi ya picha kuhusu upangaji wa meza angalia myhomeideas. Lakini hata bila maelezo ukifuatishia kwenye picha najua utaweza. Enjoy na ukiwepiga picha itume tuibandike hapa.

No comments:

Post a Comment

1