Heri ya mwaka mpya 2010


2 above images courtesy of holiday-rentals

Image courtesy of larosadeiventi

Nakutakia mwaka mpya mwema wa afya na baraka tele.Salamu hizi nazisindikiza na maua niyapendayo sana toka utotoni ya bouganvillea Babu yangu aliyapanda yakastawi. Nimeona picha hizi nikaona si mbaya ukiburudisha macho na kuunza mwaka na maua mazuri. Happy new year 2010.

1 comment:

  1. shukran, nawewe pia twakutakia kila la heri mafanikio na afya njema kwako na familia kwa ujumla

    ReplyDelete

1