Mwisho wa Oprah Show...angalia video yake akitangaza.

Image courtesy of Oprah.com
Mwanamke wa shoka atamaliza show yake mwaka 2011. Angalia video toka oprah.com akitangaza kwa masikitiko na habari kamili toka website yake hapa . Kwa kweli vipindi vyake vinaelimisha kama hiki hapa na hapa nilivyowahi kublog huko nyuma. zaidi angalia website yake hapa.Nakutakia weekend njema.

2 comments:

  1. Keshazeheka na kushiba pesa.

    ReplyDelete
  2. kwanza asante kwa maoni, pili kuzeeka si ndio vizuri anatupa na busara zake au unasemaje

    ReplyDelete

1