Fine art Photography....jinsi ya kufanya... na kupata pambo la kipekee.

Viatu na maua madogo niliyoyakata toka maua makubwa ya plastik
mkusanyiko wa vipande vya picha toka magazetini na jarada la kitabu (collage) mkusanyiko wa vipande vya picha mbalimbali toka magazetini juu jarada la kitabu (Collage) vitu vidogo vidogo nivipendavyo

 Images copyright: sophiesclub

Hata wewe unaweza!La kufanya ni kupanga mpangalio wa vitu vyovyote vile uvipendavyo na kuvipiga picha kutokana na mtizamo wako.Mfano ni hizo picha juu nilizopiga za vitu mbalimbali. Ukisha piga unazikuza na kufrem tayari unapambo la kipekee la nyumbani kwako au zawadi kwa ndugu, jamaa na marafiki au biashara vyovyote upendavyo.Pia usisahau kushare nasi hizo picha.

Fine art photography refers to photographs that are created to fulfill the creative vision of the artist;source wikipediaNo comments:

Post a Comment

1