Pamba kwa bei poa

Image courtesy of marthastewartwedding
Mkusanyiko wa makopo yaliyochorwa vizuri nje hupendeza pia kutumika kuwekea maua kama hapa kwenye picha. Unakumbuka makopo yoyote ya kwetu yaliyo na mapambo mazuri nje?Tuambie.Weekend njema na kesho usisahau kuweka ua mezani wakati wa kifungua kinywa harafu nitumie picha.

2 comments:

  1. Ngoja nijaribu!Lakini nahisi sio rahisi hivyo kupendezesha eneo kirahisi hasa kwetu siye wanaume tuishio peke yetu!:-(

    ReplyDelete
  2. Simon hiyo"ngoja nijaribu" inatosha sana maana huo ndio mwanzo wenyewe.Tena nimefurahi maana namna hii akina kaka wengine unawapa changa moto. Asante na karibu tena

    ReplyDelete

1