Badili sura ya chumba kwa dakika kumiimages via realsimple
Vitu ulivyonavyo unaweza ukavitumia kwa matumizi mbalimbali tofauti na matumizi yake ya awali (picha ya 2) na pia unaweza tumia mikebe kuwekea vitu mbalimbali,ukipata inayofanana hupendeza zaidi pia kama unasumbuliwa na karatasi kila mahali kama mimi basi tumia hayo makasha ya kuwekea mafaili ofisini kuhifadhia . Namna hii mpangilio wa vitu unakuwa rahisi na kupendeza na kukurahisisha kuona utakachokua unatafuta.

2 comments:

  1. Asante kwa tip da Sophie maana bint yangu anapenda kweli kubadili chumba chake.

    ReplyDelete
  2. Asante kushukuru Yasinta,naona tumepata mpambaji mwingine tayari mwambie aendelee hivyo hivyo.Karibu tena

    ReplyDelete

1