Leo tuone upambaji wa Wafaransa
all images courtesy of marieclairemaison
Mara nyingi huwa nikiandika napenda kukumbushia kuwa upambaji unakuwa mzuri pale mpambaji anapokuwa creative na kuja na mawazo mapya. Napenda kublog mapambo na upambaji,sanaa n.k kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni ili utakapokuwa unapamba uchanganye ideas za huku na kule na uongezee ujuzi wako hapo utapata matokeo mazuri na tofauti na wapambaji walio wengi. Kama unavyoona ktk picha hizi upambaji wa Wafaransa kutoka 100 idees DECO unaonyesha aina mbalimbali za upambaji wao kama upambaji kwenye kikapu,shells, na upambaji maua ndani ya
mikebe ya vioo yaani maua hayatokezei juu kama kawaida tulivyozoea. Haya jaribu mwenye na pia mfundishe mwenzio.Enjoy

3 comments:

 1. Nimeipenda hiyo ya kuweka maua kwenye chupa ya mvinyo. Ni mtindo mzuri.

  ReplyDelete
 2. Dadangu UPOOO???
  Ni kweli sijapita hapa nyumbani kwa siku nyingi lakini nawakumbuka. Natumai mnaendelea vema na Mungu anaendelea kuwajalia kila lililo jema.
  Baraka kwenu nyote.
  Blessings

  ReplyDelete
 3. Nafurahi kusikia hivyo Yasinta naona sasa nyumbani kwako maua yatakuwa kila kona.

  Mzee wa changamoto, Nipo, asante sana kwa kupitia kusalimia,karibu tena wote.

  ReplyDelete

1