Uzuri wa Ubunifu


Images courtesy of joepogan
Inafurahisha sana mtu akiwa mbunifu.Ukiwa na utundu wa kufikiria kitu na kujaribu utafika mbali naamini huu ni mfano mzuri
unaotufundisha wote na ni vizuri zaidi tukisititiza kwa watoto na vijana.Mwanasanaa Joe Pogan anatengeneza hizi sculptures kutoka taka za vyuma mbalimbali ansema alianza kama hobby tu sasa imekuwa biashara.Kazi yake inavutia angalia zaidi katika website yake pia angalia interview yake upate kupanua mawazo. Mpe support mbunifu mdogo na mkubwa!


No comments:

Post a Comment

1