Upambaji...Vikombe vya mayai
Images courtesy om marthastewart
Katika upambaji ni vizuri mara nyingi kubadili matumizi ya kitu fulani na kukitumia kwa matumizi mengine mfano hapa vikombe vya mayai vimetumika kupambia maua.Ukipenda jinsi ya kutengeza hayo mayai ya rangi angalia marthastewart.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1