Ufumaji kwa kutumia ribbon...Utapenda!
All 3 images courtesy of Norehan
Je unapenda kujifunza kitu kipya,basi jaribu ufumaji huu.Kuna ufumaji wa aina nyingi,huu ni wa kutumia ribbon za silk(hujulikana kama Silk Ribbon Embroidery).Unapendeza sana kama picha zinavyoonyesha.Kama utapenda kujifunza ufumaji huu angalia website zenye maelekezo ambazo ni threadsmagazine wanaonyesha jinsi ya kuanza na honeybeesbliss anatoa maelekezo mazuri kwa video.Unapendeza sana jifunze,mfundishe mwenzio pia jiongezee kipato kwa kufuma mtindo huu kwenye mapambo,shera za maharusi,nguo za watoto n.k !Enjoy.

2 comments:

1