Sura mpya,matumizi mapya...upambaji kwa bajeti!


Unaweza kutengeneza kadi kwa kutumia mabaki ya vitambaa uvipendavyo Kioo kimepambwa kwa vijiko vya plastiki
tennis rackets mbovu zimebadilishwa na kutumika kama frame za vioo

Tray ya bati inatumika kama ubao wa wa kuwekea kumbukumbu nyumbaniAll 5 Images courtesy of countryliving
Vipande vya vitambaa vimetumika kudesign mfuko.
Ku-recycle vitu mbali mbali ni vizuri kwetu na kwa mazingira yetu. Nafurahi ninapoweza kutumia kitu kwa matumizi mengi au hata kukibadili kitu kilichochakaa na kukipamba.Nafikiri ni njia moja ya kukuza sanaa, kupunguza gharama,takangumu na kuwafundisha watoto na vijana wadogo wawe na uhuru wa kufikiri matumizi mbadala ya vitu walivyonavyo.Kwa maelekezo ya kutengeneza hivi vitu hapo juu angalia countryliving. Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1