Sanaa...mapambo ya vibuyu ...Kazi ya Mchina


Images courtesy of china.org


Mchina Wang Xuezhe alijipatia nafasi kwenye Guiness Book mwaka 1999 kwa sanaa yake ya vibuyu. Kwa ufupi alianza sanaa hii baada ya kustaafu ila alikuwa akipenda sana vibuyu .Siku moja Mke wake alimletea zawadi ya vibuyu aliifurahia zawadi hii akaamua ajaribu kutengeza sanaa, yote yakaanzia hapo. Anachonga,anaandika mashairi ,hata anafuma kwenye vibuyu! Inafurahisha kuona jinsi ambavyo Msanii huyu aliangalia kitu anachokipenda akafanya sanaa kutokana na kitu hicho,mfano mzuri wa kuigwa.Angalia interview yake na design mbalimbali ya vibuyu hapa.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1