Sanaa ya vibuyu


Above image courtesy of hubpages
Hapa juu kibuyu kimekatwa na kuchorwa.Kimependeza!
Above three images courtesy of Susan Breeland
Hapa vibuyu vimetengenezwa design mbalimbali.Youtube wameonyesha mfano wa kupamba vibuyu ila nahisi kuna njia nyingine za asili nikipata nitazipost hapa au kama unaujuzi huu tafadhali tufundishe.

5 comments:

 1. Well! Too bad kwamba sina ujuzi, labda ndio nachota ujuzi. Inapendeza kwelikweli. Najiuliza wale kinamama wenye utaalamu wa kupamba mikeka na sanaa nyingine za ndani wangekuwa na uhakika wa soko la vitu kama hivi, si wangeongeza ubunifu na kujizatiti katika hili kisha kujiinua na kuliinua taifa?
  Ama kweli serikali yetu inajitahidi kufikiria kumpatia mtu pesa mkononi kama njia pekee ya kumuinua ilhali ingemtafutia soko, akamalizia mwenyewe kujiinua na kuiinua serikali.
  Hivi vinapendeza na nina hakika vinatengenezeka.
  Asante sana Da Sophy

  ReplyDelete
 2. Brilliant. Just brilliant work!

  ReplyDelete
 3. Ni kwa kweli utamaduni wetu ni mzuri basi tu. mi nimependezwa.

  ReplyDelete
 4. Kumbe na nyie wote imewapendezea hata mie nimeipenda sanaa hii na kama ulivyosema Mzee wa changamoto mpango mzuri na utakaowafikia wote wa soko ni kitu muhimu.Tusikate tamaa tuendelee kumwambia mwingine na mwingine ili watu wengi wazijue sanaa kama hizi zipo na zinauzika, naamini mafanikio yatapatikana maana penye wengi hapaharibiki neno.Asanteni na msichoke

  ReplyDelete
 5. Kumbe na nyie wote imewapendezea hata mie nimeipenda sanaa hii na kama ulivyosema Mzee wa changamoto mpango mzuri na utakaowafikia wote wa soko ni kitu muhimu.Tusikate tamaa tuendelee kumwambia mwingine na mwingine ili watu wengi wazijue sanaa kama hizi zipo na zinauzika, naamini mafanikio yatapatikana maana penye wengi hapaharibiki neno.Asanteni na msichoke

  ReplyDelete

1