Picha za ubunifu...
All 4 images courtesy of Friedamaria
Sanaa ziko za aina nyingi na zinapendeza,zinaelimisha na kushibisha macho.Friedamaria dada wa Kiholanzi anapiga picha za kuvutia.Picha zake ni za ubunifu. Naipenda kazi yake natumaini nawe itakufurahisha ili siku moja moja upige picha za ubunifu. Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1