
jestatic kutoka ehow anaeleza jinsi ya kutumia keys za typewriter kutengeneza urembo kama heleni,bracelet,vifungio vya mashati etc. Ni njia nzuri ya kurecycle na kujiongezea kipato ukizingatia karne hii ya computer lazima kuna typewriters nyingi hazina tena matumizi.Kama unajua matumizi mengine tafadhali tuelimishe. Tutunze mazingira yetu!
No comments:
Post a Comment