Makosa katika upambaji ...namba moja.

Above image courtesy of myhomeideas


Above 2 images courtesy of bhg
Kuna baadhi ya makosa katika upambaji leo nitazungumzia moja. Kosa tusilotakiwa kufanya katika upambaji ni kumechisha kila kitu kama hiyo picha ya kwanza juu kabisa,hapo unaona kuna mbili rangi ya njano na brown katika vitu vyote .Ukiangalia picha ya pili na ya tatu kutoka juu unaona ambavyo kuna rangi nyingi tofauti mfano hiyo picha ya katika kati kuna viti vyeupe,kabati la kijani,ukuta wa njano,taa ya orange,maua ya njano,vimito vya bluu na vya draft mradi tu mchanganyiko wa rangi,hivyo hivyo na picha ya tatu.Namna hii chumba kina kinavutia na kuburudisha macho. Nitaandika makosa mengine baada tu ya kupata picha za mifano yake.Siku njema.

1 comment:

1