Picha hizi zinaonyesha kupamba pasipo kuingia gharama mf. ya kwa kupamba kutumia vyombo ambavyo tayari unavyo,kuweka maua kwenye chupa tupu ulizonazo na kuweka foronya za rangi mbalimbali ambazo unaweza kushona mwenyewe.zaidi angalia
womansday.Weekend njema!
Asante kwa tip, halafu kunapendeza kweli da Sophie
ReplyDelete