Vitasa vya makabati...


Images courtesy bhg
Katika kupendezesha na kupanga makazi yako unaweza tumia vitasa vya kabati kama hiyo picha ya tatu.Hapo tunarecycle na kupamba na kuweka vitu mahali ambapo ni rahisi kuviona.Upangazi wa vitu vizuri uongeza ufanisi hivyo tuna umuhimu wa kuweka kila kitu mahali tunapoweza kukifikia na kukiona haraka mfano miwani na funguo.Pia tusisahau kupamba na vitu vyenye rangi mbalimbali.Tips zaidi bhg . Enjoy!

2 comments:

1