Upambaji wa bei poa...

Images courtesy of bhg

Upambaji si lazima ununue vitu vya gharama au hata saa nyingine unaweza tumia vitu ulivyonavyo ila vibadilishe tu upate sura mpya tofauti au vipe matumize tofauti,kwa mfano pakaa rangi unayoipenda kwenye viti vya mbao kama hicho hapo juu,pamba postcard ulizopata kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki au unazozipenda kwa ukumbusho,pakaa rangi box la mbao na wekea maua kama hapo juu au hivyo vichupa vya chumvi unaweza kuwekea maua,Mama yangu huwa anasema kupamba ni kuwa creative tu,naamini ni kweli!Jaribu ni rahisi tu.bhg wanazo ideas nyingi.Enjoy!

No comments:

Post a Comment

1