Tuwakumbuke watoto..


Image courtesy of Apartmenttherapy
Nimeipenda picha hii kutoka apartment therapy .Nilichopenda sana ni hii meza ya mtoto na kalamu za aina mbalimbali kwenye makopo tayari kwa kumjengea mtoto mazingira ya kusoma au kufanya sanaa aipendayo. Nampongeza mzazi huyu,ni mfano ambao wazazi inabidi tuuige. Angali picha zaidi ya nyumba hii jinsi ambavyo zinavutia na kuchangamsha,Enjoy.

No comments:

Post a Comment

1