The African Quilts
Images courtesy of bevcraigwhite
Akina mama wa Kenya wametengeneza hizi quilts vizuri sana nimeona kazi zao hapa. Je Tanzania kuna wasanii wafanyao sanaa hii?Tafadhali kama unajua tufahamishe, ni sanaa inayovutia.

3 comments:

  1. Da Sophie, hii nimeipenda sana. Picha ya kwanza imenifanya niduwae! Nilipoiona ya pili nikashangaa tu, na ya tatu tena, doh, zote ni murua mno.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli Subi,yaani hawa wamama ni wataalamu,hata mie nilishangaa na kusipenda kama wewe.Asante subi

    ReplyDelete
  3. olaaah wamama wakenya , wachacharikaji , sasa sophy inabidi tuanze kununua sasa inakuwaje,, mbona vitu vizuri?

    ReplyDelete

1