Vikapu

Picha hisani ya darhotwire

Kazi nzuri ya mikono hapa imefanyika,nimependa sana hivi vyenye miduara.(Kama unamjua mtengenezaji/muuzaji nitashukuru ukinifahamisha). Mbali na vikapu kutumika kwa kubebea vitu mbalimbali unaweza ukavitumia kwa upambaji kama kuwekea makopo ya maua,alinifundisha marehemu mdogo wangu tip hii. Vinapendeza sana ,mfano picha ifuatayo.


Image courtesy of arenaflowers

No comments:

Post a Comment

1